Tuesday, August 16, 2011

Maisha ni Kitendawili

Nimeamini ya wahenga waliposema maisha ni kitendawili sababu wapo wanaosoma wanafanikiwa na kuweka mambo sawa..Ila wapo pia wenzangu na mimi wa no shule ila wakafanikiwa na kutoka kimaisha!!
Maisha hayana formula.

Monday, January 10, 2011

INAPENDEZA AU MNAONAJE?

Huu ni mwanzo tu, tutafika tu najua!!
In God We Trust!